Based on a true story, the film follows George Jung, Pablo Escobar, and Diego Delgado who work together to bring cocaine to the American market in the 1970s.
Trivia The film is adapted from Bruce Porter's book titled, Blow: How a Small Town Boy Made $100 Million with the MedellĂn Cocaine Cartel and Lost It All. The film's title is based off the slang term used for cocaine.
ncG1vNJzZmivp6x7p63MqKysmpmnwamwwLKqZ5ufonyuu9WinKxnkqG8uHrHraSl
-Waziri wa Michezo Rashid Achesa alianzia kazi yake kwa kutoa onyo
-Achesa alionya makundi yote ya kikiritimba katika sekta ya michezo kwa kuyaambia kuwa muda wao ulikuwa umeisha
-Aliwataka walio Wakristo au Waislamu na wamo katika biashara hiyo kuanza kuomba asiwashike
Waziri mpya wa Michezo Rashid Mohammed Achesa, ametoa onyo kali kwa wafisadi katika wizara yake.
Habari Nyingine: Mbunge Otiendo Amollo afurahisha wengi kwa kujengea wajane nyumba
Achesa, alitoa onyo hilo Jumanne 20, alipokuwa akizungumza na wanahabari wakati wa mkutano wa kupewa wadhifa huo na waziri wa awali katika wizara hiyo. Read More...