Daktari huyo wa kienyeji aliyehukumiwa kifungu cha maisha 2010, alipatikana na hatia ya kuua mteja wake na mchanganyiko wa mito shambaAnaripotiwa kumupa mgonjwa wake glasi mbili za dawa za kienyeji ambazo ziligeuka kuwa sumu.Kesi yake ya rufaa ilikataliwa kwa kupitisha muda wa kukosoa hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Bungoma Habari Nyingine: Polisi Wamsaka Mhudumu wa Bodaboda Aliyempiga Risasi Mteja Wake
Daktari wa kienyeji aliyehukumiwa maisha mwaka 2010, kwa kumchanganyia mgonjwa mitishamba yenye sumu na kumuua, amepoteza kesi ya rufaa baada ya kuiwasilisha kuchelewa. Read More...
Did Luke from 'General Hospital' die? A recent episode of 'General Hospital' garnered mixed responses from loyal fans of the show. Did Luke die?
The supposed death of a beloved General Hospital character has garnered mixed responses from loyal fans of the show. Luke Spencer's supposed death started to make the rounds in a recent episode — and viewers are far from happy. Article continues below advertisement
Anthony Geary, the actor who played Luke for decades, stepped down from the role years ago. Read More...
Dereva na utingo kutoka eneo bunge la Gatundu wameyeyusha nyoyo za Wakenya wengi baada ya kujitolea kuyaokoa maisha ya kijana mmoja aliyekuwa ameabiri gari lao
Kulingana na mtumiaji mmoja wa mtandao wa Facebook aliyetambulika kama Hon. Mario Nderi, kijana huyo alikuwa na nyanyake wakitoka katika hospitali ya Gatundu Leve 5 ila akazidiwa na ugonjwa akiwa ndani ya gari.
Nderi alisema dereva wa gari hilo la Sacco ya GNT, walijitolea na kumkimbiza mtoto huyo katika hospitali ya Neema iliyooko mtaani Kahawa Sukari. Read More...